16/04/2016

Suhaili

Salamu Maria

Salamu Maria,
umejaa neema
Bwana yu nawe.
Umebarikiwa kuliko wanawake wote,
na Yesu, mzao wa tumbo lako amebarikiwa.

Maria mtakatifo, Mama wa Mungu,
utuombe sisi wakosefu,
sasa na saa ya kufa kwetu.

Amina